Nenda kwa yaliyomo

Miglustat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miglustat
Jina la (IUPAC)
(2R,3R,4R,5S)-1-butyl-2-(hydroxymethyl)piperidine-3,4,5-triol
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Zavesca, Brazaves
AHFS/Drugs.com Monograph
MedlinePlus a604015
Taarifa za leseni EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link], US Daily Med:link
Kategoria ya ujauzito D(AU) C(US)
Hali ya kisheria Prescription Only (S4) (AU) POM (UK) ℞-only (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mdomo
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili 97%
Kufunga kwa protini Hakuna
Kimetaboliki Hakuna
Nusu uhai Masaa 6–7
Utoaji wa uchafu Figo, haijabadilishwa
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe OGT 918, 1,5-(butylimino)-1,5-dideoxy-D-glucitol, N-butyl-deoxynojirimycin
Data ya kikemikali
Fomyula C10H21NO4 
  • InChI=1S/C10H21NO4/c1-2-3-4-11-5-8(13)10(15)9(14)7(11)6-12/h7-10,12-15H,2-6H2,1H3/t7-,8+,9-,10-/m1/s1 YesY
    Key:UQRORFVVSGFNRO-UTINFBMNSA-N YesY
 YesY(Hiki ni nini?)  (thibitisha)

Miglustat, inayouzwa kwa jina la chapa Zavesca, ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa mrundikano wa mafuta katika viungo mbalimbali (Gaucher) aina ya 1 (GD1) na ugonjwa wa Niemann–Pick aina ya C (NPC).[1] Inamezwa kwa mdomo.[2]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kupunguza uzito, kutetemeka, kuhara, kuongezeka kwa gesi kwenye utumbo, na maumivu ya tumbo.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha kuharibika kwa neva za pembezoni (peripheral neuropathy) na chembe sahani za damu zilizo chini.[2] Usalama wake wakati wa ujauzito haujulikani wazi.[2] Ni kizuizi cha kimeng’enya-mjenzi wa Glukosailiseramaidi (glucosylceramide synthase).[2]

Miglustat iliidhinishwa kwa matumizi ya kimatibabu Ulaya mwaka wa 2002 na Marekani mwaka wa 2003[1][2] na inapatikana kama dawa ya kawaida.[3] Nchini Uingereza, wiki 4 za dawa hii iligharimu Huduma ya Kitaifa ya Afya (NHS) takriban pauni 3,400 kufikia mwaka wa 2021.[3] Kiasi hiki nchini Marekani kinagharimu takriban dola 23,000 za Marekani.[4]

  1. 1 2 3 "Zavesca EPAR". European Medicines Agency (EMA). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Agosti 2020. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 1 2 3 4 5 "Miglustat Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 1 2 BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 1117. ISBN 978-0857114105.
  4. ↑ "Miglustat Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)