Nenda kwa yaliyomo

Mieczysław Halka-Ledóchowski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Kardinali Ledóchowski katika Basilika la Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro na Mtakatifu Paulo, Poznań.

Mieczysław Halka-Ledóchowski (29 Oktoba 182222 Julai 1902) alikuwa kardinali na askofu mkuu wa Polandi.

Alizaliwa huko Górki (karibu na Sandomierz) katika Polandi iliyokuwa chini ya utawala wa Urusi. Alikuwa mtoto wa Count Josef Ledóchowski na Maria Zakrzewska. Alikuwa ndugu wa mzazi wa Mtakatifu Ursula Ledóchowska, Mwenyeheri Maria Teresa Ledóchowska, na Padre Włodzimierz Ledóchowski, Mkuu wa Shirika la Yesu (Jesuits).[1]

  1. Ott, Michael. "Miecislas Halka Ledochowski." The Catholic Encyclopedia Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910. 16 Aug. 2015
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.