Mid'hat Frashëri
Mandhari
Mid'hat bey Frashëri (anajulikana pia kwa Jina la kalamu kama Lumo Skëndo; Kituruki: Fraşerli Mithat Bey; 25 Machi 1880 – 3 Oktoba 1949) alikuwa mwanadiplomasia, mwandishi, na mwanasiasa wa Albania. Alizaliwa akiwa mtoto wa Abdyl Frashëri, mmoja wa wanaharakati muhimu zaidi wa Mwamko wa Kitaifa wa Albania, na alishiriki katika Kongamano la Manastir mnamo mwaka wa 1908.[1] Mnamo mwaka wa 1942, akawa rais wa Balli Kombëtar (Umoja wa Kitaifa), ambalo lilikuwa vuguvugu la utaifa wa Albania,[2][3][4][5] lililoshirikiana na maadui (mshirika wa mhimili wa Axis)[3][6] na lenye msimamo wa kupinga ukomunisti wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.[7][8][9][10] Frashëri anatajwa kama mmoja wa waasisi wa Utaifa wa Albania.[11]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Osmani, Tomor (1999). "Historia e alfabetit" [History of the Alphabet]. Udha e shkronjave shqipe [The Pathway of the Albanian Letters] (kwa Kialbania). ku. 461–496.
- ↑ World Peace Council (1951). First Session of the World Peace Council, Berlin, February 21-26, 1951: (Report and Documents) (kwa Kiingereza). uk. 16.
- 1 2 Rashke, Richard (2013-01-22). Useful Enemies: America's Open-Door Policy for Nazi War Criminals (kwa Kiingereza). Open Road Media. uk. 214. ISBN 978-1-4804-0159-4.
- ↑ Fischer, Bernd Jürgen (1999). Albania at War, 1939-1945 (kwa Kiingereza). Hurst. uk. 274. ISBN 978-1-85065-531-2.
- ↑ Isakovic, Zlatko (2019-05-24). Identity and Security in Former Yugoslavia (kwa Kiingereza). Routledge. uk. 114. ISBN 978-1-351-73349-6.
- ↑ Simpson, Christopher (2014-06-10). Blowback: America's Recruitment of Nazis and Its Destructive Impact on Our Domestic and Foreign Policy (kwa Kiingereza). Open Road Media. uk. 83. ISBN 978-1-4976-2306-4.
- ↑ Ermenji, A. and Frashëri, M. (1944), ‘Manifest i Ballit Kombëtar’, Mid’hat Frashëri: Vepra të zgjedhura, Vol.1, pp.597-609. [kama ilivyotajwa katika National Archives, War Office 204/13036].
- ↑ Frashëri, M. (1944), ‘Shpifni, shpifni, se diçka do të mbetet!: Komunizmi s’ka asnje ndryshim nga fashizmi’, Mid’hat Frashëri: Vepra të zgjedhura, Vol.1, pp.597-609.
- ↑ Frashëri, M. (1945), ‘Balli Kombëtar i keqkuptuar dhe i keqinterpretuar’ , Mid’hat Frashëri: Vepra të zgjedhura, Vol.1, pp.615-621.
- ↑ Frashëri, Gjergj (2003). "Tiranë". Grove Art Online. Oxford University Press. doi:10.1093/gao/9781884446054.article.t085195.
- ↑ Stephanie Schwandner-Sievers, Bernd Jürgen Fischer, Albanian identities: myth and history, C. Hurst & Co. Publishers, 2002, p. 91.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mid'hat Frashëri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |