Mick Walker
Mandhari
Michael Walker (27 Novemba 1940 – 7 Februari 2025) alikuwa mchezaji na meneja wa mpira wa miguu kutoka Uingereza.
Kama mchezaji, alianza taaluma yake kama mwanafunzi katika Nottingham Forest na kucheza soka la daraja la chini kwa vilabu kadhaa, vikiwemo Kettering Town na Matlock Town. Baadaye alikua meneja wa kikosi cha akiba cha Ilkeston Town kabla ya kuteuliwa kuwa meneja wa timu ya kwanza mwaka 1971 baada ya kuondoka kwa Dave Agnew.
Baada ya miezi sita, Walker aliteuliwa kuwa meneja wa timu ya taifa ya Singapore. Alijiunga na Burton Albion kama meneja mnamo 1976 na alidumu kwa miaka miwili, kisha akajiunga na benchi la ufundi la Notts County. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Notts County Managers". Notts County F.C. 26 Novemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Septemba 2010. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2009.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Football: Notts County sack manager after poor start: Walker pays a heavy price while Gemmill kicks off the Rotherham revival with his old pal from Derby's glory, glory days". The Independent. Independent News and Media. 15 Septemba 1994. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2009.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Meeting Whites out East". Leeds United AFC. 19 Mei 2010. Iliwekwa mnamo 7 Septemba 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mick Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |