Nenda kwa yaliyomo

Michu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miguel Pérez Cuesta (alizaliwa 21 Machi, 1986), anayejulikana kama Michu, ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alicheza kama mshambuliaji au kiungo mshambuliaji. Kwa sasa ni mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Burgos CF katika Segunda División.

Alianza kucheza katika Real Oviedo, kabla ya kuwakilisha RC Celta de Vigo na Rayo Vallecano. Alifanya debut yake ya La Liga akiwa na Rayo Vallecano katika msimu wa 2011–12 La Liga.

Mwaka 2012 alisajiliwa na Swansea City A.F.C.ya England, ambapo alifunga mabao 22 katika mashindano yote katika msimu wake wa kwanza 2012–13 Swansea City A.F.C. season na kusaidia klabu kushinda Kombe la Ligi.[1][2]

  1. "El entrenador del Swansea confirma que Michu no volverá a jugar con el equipo" [Swansea manager confirms Michu will not play with team again]. La Nueva España (kwa Kihispania). 14 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 24 Januari 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Castro, X.R. (25 Aprili 2008). "El Celta inicia su proyecto de futuro atando a Michu hasta el año 2011" [Celta start their project for the future by tying Michu until the year 2011]. La Voz de Galicia (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 24 Januari 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.