Nenda kwa yaliyomo

Michelle Nixon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michelle Nixon (jina la kuzaliwa: Michelle Denice Thurston; 10 Desemba 1963[1]) ni msanii wa muziki Bluegrass na muziki wa acoustic country.

Alikulia katika sehemu ya kati ya Virginia ambapo alijihusisha na muziki tangu umri mdogo.[2] [3][4]

  1. "Niet compatibele browser". Facebook. Iliwekwa mnamo 2010-07-03.
  2. Michelle Nixon Website
  3. Michelle Nixon CMT Page
  4. Wayne Rice's Bluegrass Bios
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelle Nixon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.