Nenda kwa yaliyomo

Michelle Creber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michelle Nicole Creber (amezaliwa 7 Septemba, 1999) ni mwigizaji na mwimbaji wa Kanada.

Michelle Creber alizaliwa akiwa binti wa mpiga piano wa jazz na mtayarishaji Michael Creber na mwimbaji na mtayarishaji Monique Creber. Alionekana kwa mara ya kwanza jukwaani akiimba akiwa na umri wa miaka minne, na alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka saba, akicheza nafasi ya Lucy katika Charlie Brown /Peanuts (Warner Bros).

    Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Michelle Creber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.