Michelle Bartsch-Hackley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Mpira wa wavu Michelle Bartsch
Mchezaji wa Mpira wa wavu Michelle Bartsch

Michelle Bartsch-Hackley (alizaliwa 12 Februari 1990) ni mchezaji mahiri wa mpira wa wavu wa Marekani na mwanachama wa timu iliyoshinda medali ya dhahabu kaika mashindano ya Olimpiki ya majira ya joto 2020 huko Tokyo. Anachezea VakifBank, Istanbul, na ni mwanachama wa Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake ya Marekani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Michelle BARTSCH. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-08.