Nenda kwa yaliyomo

Michelangelo Celesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michelangelo Celesia, O.S.B. Cas. (13 Januari 181414 Aprili 1904) alikuwa mmonaki wa Kibenedikto wa Italia aliyekuwa Askofu Mkuu wa Palermo kutoka mwaka 1871 hadi kifo chake. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1884.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.