Michael Steinhardt
Mandhari
Michael H. Steinhardt (alizaliwa Desemba 7, 1940) ni mfanyabiashara bilionea wa hazina ya uwekezaji, mfadhili, na mkusanyaji wa vitu vya kale nchini Marekani. Mwaka 1967, alianzisha kampuni ya hazina ya uwekezaji ya Steinhardt Partners ambayo aliiendesha hadi alipoifunga mwaka 1995. Baada ya mapumziko kutoka kazi, alirudi kuongoza WisdomTree Investments mwaka 2004.Forbes iliripoti utajiri wake kuwa dola bilioni 1.1 kufikia Oktoba 2018.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Noer, Michael. "Michael Steinhardt, Wall Street's Greatest Trader, Is Back -- And He's Reinventing Investing Again". Forbes. Iliwekwa mnamo 2017-02-18.
- ↑ Sebastian Mallaby (2010). More Money Than God, pg.41
- ↑ "Michael Steinhardt". Forbes. Iliwekwa mnamo 2018-10-28.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Steinhardt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |