Michael Sheehan
Mandhari
Michael Jarboe Sheehan (9 Julai 1939 - 3 Juni 2023) alikuwa askofu kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki ambaye aliwahi kuwa askofu mkuu wa kumi na moja wa Jimbo Kuu la Santa Fe huko New Meksiko kuanzia 1993 hadi 2015. Hapo awali aliwahi kuwa askofu Dayosisi ya Lubbock huko Texas kutoka 1983 hadi 1993.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |