Michael R. Arietti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Ray Arietti (alizaliwa Oktoba 25, 1947) [1] ni mwanadiplomasia wa Marekani na alifanya kazi kama afisa anaehusika na mambo ya nje katika Idara ya serikali ya Marekani. Alihudumu kama balozi wa Marekani nchini Rwanda kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2008.

Maisha na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Alikulia katika Jiji la Enfield, Connecticut, Arietti alihitimu elimu yake ya sekondari katika  shule iitwayo Enfield High School mnamo mwaka 1965. [2] Alipata  shahada yake ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins mwaka 1970. [3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu chuo, alijitolea katika Kikosi cha Amani na kufanya kazi nchini India kabla ya kujiunga na Idara ya Serikali ya Marekani.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. AHLBERG, KRISTIN L. (2008). "Building a Model Public History Program: The Office of the Historian at the U.S. Department of State". The Public Historian 30 (2): 9–28. ISSN 0272-3433. doi:10.1525/tph.2008.30.2.9. 
  2. "CONNECTICUT MAKES FLUORIDATION MANDATORY: IN NEW YORK STATE-OVER 70% COVERAGE". Journal of School Health 35 (9): 401–401. 1965-11. ISSN 0022-4391. doi:10.1111/j.1746-1561.1965.tb01627.x.  Check date values in: |date= (help)
  3. Graham, Howard; Kauffman, Regina; Khaliq, Waseem (2022-08-04). "Colorectal Cancer Screening Prevalence, Perceived Barriers, and Preference for Screening Colonoscopy Among Hospitalized Women". The Turkish Journal of Gastroenterology. ISSN 2148-5607. doi:10.5152/tjg.2022.21567. 
  4. Arietti Junior, Antonio Marcelo, Análise dos requisitos da qualidade em projetos de robôs agrícolas, Universidade de Sao Paulo, Agencia USP de Gestao da Informacao Academica (AGUIA), iliwekwa mnamo 2022-08-12