Nenda kwa yaliyomo

Michael Pak Jeong-il

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Pak Jeong-il (18 Desemba 192628 Agosti 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Korea Kusini. Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Jeju kuanzia 1977 hadi 1982, Jimbo la Jeonju kutoka 1982 hadi 1988, na Jimbo la Masan kuanzia 1988 hadi 2002.[1]

  1. "Lutto nell'episcopato". L'Osservatore Romano. 29 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.