Michael Levytsky
Mandhari

Michael Levytsky (17 Februari 1774 – 14 Januari 1858) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kuanzia 1816 hadi kifo chake mwaka 1858 na pia Kardinali wa Kanisa Katoliki.
Alitoka katika familia ya mapadri wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pelesz, Julian (1881). Geschichte der Union der ruthenischen Kirche mit Rom. Woerl. ku. 899, 950.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |