Nenda kwa yaliyomo

Michael Francis Crotty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Francis Crotty (alizaliwa 26 Machi 1970) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Eire ambaye ni Askofu wa jimbojina la Lindisfarne na anahudumu kama Balozi wa Papa nchini Nigeria tangu tarehe 16 Julai 2024.[1]

  1. "Vatican appoints Archbishop Michael Francis Crotty, as new Apostolic Nuncio to Nigeria". Vanguard News. 16 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.