Nenda kwa yaliyomo

Michael Christoph Hanow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Christoph Hanow (pia huandikwa Hanov au Hanovius) (12 Desemba 1695, huko Zamborst karibu na Neustettin, (1653–1815)Pomerania]] – 22 Septemba 1773, huko Danzig) alikuwa Mjerumani mtaalamu wa hali ya hewa, mwanahistoria, profesa wa hisabati na tangu mwaka 1717 alikuwa rektari wa Academic Gymnasium Danzig.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Christoph Hanow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.