Michael Ben-Yair
Mandhari
Michael Ben-Yair (alizaliwa 1 Septemba 1942) alilelewa Sheikh Jarrah hadi mwaka 1948, alikuwa Mwanasheria mkuu wa Israel, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1993 hadi 1996, na aliyekuwa kaimu jaji katika Mahakama ya juu ya Israel. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ben-Yair, Michael (Machi 3, 2002). "The war's seventh day". Haaretz. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2014.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Ben-Yair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |