Michèle Pierre-Louis
Mandhari
Michèle Duvivier Pierre-Louis (fr; alizaliwa tarehe 5 Oktoba 1947) ni mwanasiasa wa kutoka nchini Haiti ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Haiti kuanzia Septemba 2008 hadi Novemba 2009.[1][2]
Alikuwa mwanamke wa pili kuwa Waziri Mkuu wa nchini Haiti,[3] baada ya Claudette Werleigh aliyeshika wadhifa huo kuanzia mwaka 1995 hadi 1996.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Preval) nominates Michele Pierre-Louis for Prime Minister". Haiti Analysis. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo 3) Desemba 2008. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help); Check date values in:|archive-date=(help) - ↑ ["Haitian) president Preval names a new prime minister". AFP. 23 Juni 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo 3) Julai 2008. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help); Check date values in:|archive-date=(help) - ↑ ["Haiti) lawmakers ratify 2nd female prime minister". Associated Press. 31 Julai 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo 18) Agosti 2008. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help); Check date values in:|archive-date=(help) - ↑ Skard, Torild (2014). Women of Power - Half a Century of Female Presidents and Prime Ministers Worldwide. Bristol: Policy Press. ISBN 978-1-44731-578-0.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michèle Pierre-Louis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |