Nenda kwa yaliyomo

Mica Roberts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mica Roberts (alizaliwa Locust Grove, Oklahoma)[1] ni msanii wa muziki wa country kutoka Marekani aliye saini na lebo ya Show Dog Nashville, lebo inayomilikiwa na mwimbaji wa country Toby Keith.[2][3]

  1. Leggett, Steve. "Mica Roberts biography". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-04-26.
  2. "Days You Live For - Mica Roberts". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-11-01.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mica Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.