Międzyrzec Podlaski
Mandhari
Międzyrzec Podlaski ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Krzna. Iko katikati ya miji ya Biała Podlaska na Lublin katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 17.300 (2005).
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Międzyrzec Podlaski kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |