Mhanga Mkubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mhanga Mkubwa
Mhanga mkubwa Myrmecophaga tridactyla
Mhanga mkubwa Myrmecophaga tridactyla
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Pilosa
Nusuoda: Vermilingua (Wanyama kama wahanga)
Familia: Myrmecophagidae (Wanyama walio na mnasaba na mhanga)
Jenasi: Myrmecophaga
Linnaeus, 1758
Spishi: M. tridactyla
(Linnaeus, 1758)


Mhanga Mkubwa, Myrmecophaga tridactyla, ni spishi kubwa kushinda wahanga wote. Mhanga mkubwa ni spishi pekee katika jenasi Myrmecophaga. Wahanga wakubwa wanakula sisimizi na mchwa kwa pua ndefu na ndimi zao.

Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mhanga Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.