Mfiwi
Jump to navigation
Jump to search
Mfiwi (Phaseolus lunatus) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mfiwi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mfiwi (Phaseolus lunatus) ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa fiwi. Asili ya mfiwi ni milima ya Andes na Amerika ya Kati. Siku hizi mimea hii hukuzwa mahali pengi katika maeneo yaliyo na joto wastani.