Nenda kwa yaliyomo

Mercedes-Benz G-Class

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercedes-Benz G-Class, inayojulikana kama G-Wagon au G-Wagen, ni SUV ya kifahari yenye magurudumu manne inayotengenezwa na Magna Steyr nchini Austria na kuuzwa na Mercedes-Benz. Ilianza kama gari la kijeshi la safari ngumu, lakini baadaye ikaboreshwa kwa anasa zaidi. Hadi mwaka 2000, katika masoko fulani iliuzwa kwa jina la Puch G[1].

  1. Kharpal, Arjun (2023-09-03). "Mercedes to release a smaller version of its G Class luxury SUV". CNBC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-09-04.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.