Nenda kwa yaliyomo

Mercedes-Benz E-Class

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercedes-Benz E-Class ni gari la daraja la kifahari lililotengenezwa na Mercedes-Benz tangu Septemba 1953. Likijumuisha aina mbalimbali za injini na miundo ya mwili, E-Class linachukua nafasi ya kati katika safu ya magari ya Mercedes na limeuzwa kimataifa kwa vizazi vitano[1].

  1. "The 2018 Mercedes E400 Coupe Is a Modern Take On an Old Formula". 15 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.