Nenda kwa yaliyomo

Mercedes-Benz CLA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercedes-Benz CLA ni msururu wa magari madogo ya kifahari yanayotengenezwa na Mercedes-Benz tangu 2013. Kizazi cha kwanza kilikuwa sedan ya milango minne inayotumia jukwaa la A-Class (W176) na B-Class (W246), ikijulikana kama "four-door coupé." Mnamo 2015, kampuni iliongeza toleo la station wagon, linaloitwa Shooting Brake. Kizazi cha pili cha CLA kiliongezwa urefu na upana, kuzidi hata C-Class (W205)[1].

  1. "Used 2020 Mercedes-Benz CLA-Class for Sale Near Me".
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.