Nenda kwa yaliyomo

Mercedes-Benz C-Class

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercedes-Benz C-Class ni mfululizo wa magari ya kifahari madogo yanayotengenezwa na Mercedes-Benz Group AG. Ilianzishwa mwaka 1993 kuchukua nafasi ya modeli ya 190 (W201) na ilikuwa gari dogo zaidi kwenye orodha ya kampuni hadi ujio wa A-Class mwaka 1997. Kuanzia 2002, C-Class imekuwa ikipatikana na chaguo la mfumo wa magurudumu yote ("4MATIC"). Kizazi cha tatu (W204) kilizinduliwa mwaka 2007, huku kizazi cha sasa (W206) kikianza mwaka 2021[1].

  1. Gerard Lye (7 Machi 2018). "W205 Mercedes-Benz C-Class facelift – more details revealed; 1.5L turbo with mild hybrid for new C200!". paultan.org.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.