Mercedes-Benz B-Class
Mandhari
Mercedes-Benz B-Class ni gari dogo la kifahari linalotengenezwa na Mercedes-Benz tangu 2005. Linatokana na A-Class lakini lina vipimo vikubwa zaidi. Kwa mujibu wa tathmini ya Euro NCAP, gari hili linahesabiwa kama MPV ndogo[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Autoblog Staff (3 Juni 2011). "Mercedes-Benz F-Cell World Drive successfully completed". Autoblog. Iliwekwa mnamo 2016-04-16.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |