Mercedes-Benz A-Class
Mandhari
Mercedes-Benz A-Class ni gari dogo linalotengenezwa na Mercedes-Benz, likiwa na vizazi vinne. Lina injini mbele, mfumo wa magurudumu ya mbele (FWD), na lina nafasi ya abiria watano. Linapatikana kama hatchback ya milango mitano, huku kizazi cha pili pia kikiwa na toleo la milango mitatu[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aerodynamic New A-Class Sedan" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2018 – kutoka PressReader.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |