Mercedes-AMG
Mandhari

Mercedes-AMG GmbH, inayojulikana kama AMG, ni kampuni tanzu ya Mercedes-Benz AG inayobobea katika utengenezaji wa magari yenye utendaji wa juu. AMG huajiri wahandisi wake na kushirikiana na watengenezaji kubadilisha magari ya Mercedes-Benz kuwa ya kipekee. Makao makuu yake yako Affalterbach, Baden-Württemberg, Ujerumani[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "About us". Mercedes-Benz AG. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |