Nenda kwa yaliyomo

Menachem Ben-Sasson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Menahem Ben-Sasson (alizaliwa Julai 7, 1951) ni mwanasiasa wa Israeli na alikuwa mwanachama wa Knesset kwa chama cha Kadima. Kati ya mwaka 2009 na 2017, alikuwa rais wa Chuo Kikuu cha Kiebrania cha Jerusalem, akichukua nafasi baada ya Menachem Magidor.[1]

  1. "Office of the President | האוניברסיטה העברית בירושלים | The Hebrew University of Jerusalem". New.huji.ac.il. 2017-09-01. Iliwekwa mnamo 2020-02-23.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Menachem Ben-Sasson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.