Nenda kwa yaliyomo

Melvyn Grant

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Melvyn "Mel" Grant (alizaliwa 1944) ni msanii na mchoraji picha wa Uingereza. Alizaliwa London alifunzwa kwa njia ya jadi, awali alifanya kazi kwa rangi za mafuta , lakini mwishoni mwa miaka ya 1990 Grant alibadilisha na kuunda kazi zake nyingi kidijiti kwa kutumia kompyuta kibao na programu za Adobe Photoshop na Corel Painter.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melvyn Grant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.