Nenda kwa yaliyomo

Melton Prior

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Melton Prior (Septemba 12, 1845Novemba 2, 1910) alikuwa msanii na mwandishi wa habari za vita nchini Uingereza wa The Illustrated London News kuanzia miaka ya 1870 hadi 1904. Prior alikuwa mmoja wa wachoraji wakuu wa mwishoni mwa utawala wa Victoria Uingereza.[1]

  1. "Prior, Melton". Who's Who. Juz. la 59. 1907. ku. 1434–1435.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melton Prior kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.