Mei Shimada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mei Shimada (alizaliwa 8 Mei 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Urawa Reds inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Mei alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 12 Septemba 2021.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mei Shimada; Urawa Red Diamonds Ladies". 
  2. "Scoresheet". weleague.jp. September 2021. Iliwekwa mnamo 27 April 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mei Shimada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.