Nenda kwa yaliyomo

Mehmet Emin Toprak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mehmet Emin Toprak (11 Septemba 19742 Desemba 2002) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Uturuki.

Toprak aliigiza katika filamu maarufu ya Uzak ya mwaka wa 2002. [1] Alifariki katika ajali ya gari alipokuwa akirudi kutoka Tamasha la Filamu la Ankara karibu na mji wa Çan, akiwa na umri wa miaka 28. [2]

Wiki chache baada ya ajali hiyo, filamu ya Uzak ilionyeshwa katika Tamasha la Filamu la Cannes la 2003, ambapo Toprak alitunukiwa tuzo ya Muigizaji Bora baada ya kifo chake. [3]

  1. "Critic Reviews for Distant". Metacritic. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Gibbons, Fiachra (6 Mei 2004). "Death in Yenice". The Guardian. Iliwekwa mnamo 9 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Critic Reviews for Distant". Metacritic. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)