Mehdi Qoli Hedayat
Mandhari
Mehdi Qoli Khan Hedayat (1863 – 21 Septemba 1955), anajulikana pia kama Mokhber-ol Saltaneh (مخبرالسلطنه), alikuwa Waziri Mkuu wa Iran na mwandishi wa vitabu kadhaa kuhusu muziki wa Iran, elimu ya kisasa, ushairi, masuala ya sasa, na hasa kitabu cha kumbukumbu za maisha yake (memoir) kinachoelezea kipindi chake cha uongozi wa kisiasa chini ya Mashah (wafalme) wa mwisho sita wa Iran.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Barzegar, Ali (1987). "Mehdi Qoli Hedayat: a conservative of the late Qajar Era". Iranian Studies. 20: 55–76. doi:10.1080/00210868708701691.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mehdi Qoli Hedayat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |