Nenda kwa yaliyomo

Meelis Zaia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

H.B. Mar Joseph Meelis Zaia AM (Syriac: ܡܝܠܣ ܙܝܥܐ), anajulikana kama Mar Meelis Zaia, ni Aaskofu Mkuu wa Kanisa la Asiria la Mashariki (Classical Syriac: ܥܕܬܐ ܕܡܕܢܚܐ ܕܐܬܘܖ̈ܝܐ), akiongoza Dayosisi ya Australia, New Zealand, na Lebanon.

Pia anahudumu kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini inayosimamia masuala ya kifedha ya Kanisa, na ni mmoja wa wadhamini watano wa Shirika la Msaada la Kanisa la Asiria la Mashariki, ambalo alilianzisha mwaka 2017.[1]

  1. "About Us". Assyrian Church of the East Relief Organization (ACERO). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-17. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.