MediaWiki:Deletereason-dropdown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
  • Sababu za kawaida za ufutaji
    • Ombi la mmiliki
    • Ukiukaji wa hakimiliki
    • Uharabu
    • Kujitangaza
    • Tangazo binafsi
    • Kutokuzingatia kanuni na taratibu za kuhariri makala
    • Makala haijakidhi vigezo vya kuwa kwenye Wikipedia
    • Makala hii inaonekana kwa asilimia kubwa ni zao la tafsiri ya Kompyuta bila maboresho stahiki ya ki umbo na sarufi hivyo kuifanya isieleweke.
    • Mwandishi ametumia vyanzo vingi kutoka Wikipedia ya Kiingereza kinyume taratibu za vyanzo vinavyohitajika kutumika katika uandishi wa makala za Wikipedia.
    • Vyanzo vingi vilivyotumika katika makala hii ni vya mitandao ya kijamii amabavyo kwa mujibu wa sera za Wikipedia kuhusu vyanzo, havikubaliki.
    • Makala hii imefutwa kwakuwa haijaandikwa ki ensaiklopedia.
    • Kigezo hiki kinaonekana kutokuwa na kazi yoyote, kifutwe.