Medea Benjamin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Medea Benjamin

Medea Benjamin (jina la kuzaliwa Susan Benjamin; Septemba 10, 1952) ni mwanaharakati wa kisiasa wa nchini Marekani ambaye alikuwa mwanzilishi wa Code Pink na Jodie Evans.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Medea Benjamin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.