Nenda kwa yaliyomo

Medali ya miuijza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Medali ya miujiza.

Medali ya miujiza ni jina ambalo kuanzia mwaka 1834 Wakatoliki wameipatia medali iliyotengenezwa kufuatana na njozi ambayo Katerina Labouré alisema zilimpata huko Paris, Ufaransa, mwaka 1830, akiwa bado mnovisi. Sista huyo wa shirika la Mabinti wa Upendo wa Mt. Vinsenti wa Paulo alisimulia hasa njozi ya tarehe 27 Novemba mwaka huo iliyo asili ya medali hiyo.

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Medali ya miuijza kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.