Mchembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mchembe ni chakula kinachotokana na viazi vitamu vilivyokaushwa. Hukatwa vikiwa vibichi vipande vidogovidogo, halafu huanikwa kwenye jua. Huweza kukaa muda mrefu pasipo kuharibika.

Tofauti na mbute hutengenezwa na zao la muhogo uliomenywa na huvundikwa na baadae kupikwa.