Nenda kwa yaliyomo

McKenna Faith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

McKenna Garcia (aliyezaliwa 6 Januari, 1995), anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii McKenna Faith ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo na muziki wa country kutoka Ukiah, California.[1][2]

  1. Taylor, Dan (2011-01-15). "Ukiah Teen's Faith in music". Press Democrat. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2011-09-23.
  2. Maginnis-Honey, Amy (2011-09-21). "16-year-old aspires to country music career". Daily Republic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-25. Iliwekwa mnamo 2011-09-23. The Ukiah resident
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu McKenna Faith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.