Mbuzi (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mbuzi (Maana))

Mbuzi ni neno la Kiswahili ambalo linaweza kumaanisha:

  • Mbuzi ambaye ni mnyama mwenye miguu minne aina ya mamalia ambaye huzaa na kunyonyesha.
  • jina mbadala kwa kundinyota la Jadi (pia en:Capricornus)
  • Mbuzi (kifaa): hiki ni kifaa ambacho kinachotumika kukunia nazi na pia huweza kutumika kama kiti kidogo.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.