Mbuyiseni Mtshali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbuyiseni Oswald Mtshali (amezaliwa 17 Januari 1940) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika mashairi akifanya kazi kama mhakiki na mwalimu. Mara kwa mara alikaa Marekani.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Sounds of a Cowhide Drum (mashairi, 1971)
  • Fireflames (mashairi, 1980)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbuyiseni Mtshali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.