Mbugani (maana)
Mandhari
Mbuga ni eneo lenye mazingira ya uoto wa manyasi au lililo karibu na mbuga kwa maana ya hifadhi ya wanyama au mazingira asilia kama mbuga ya wanyama.
Kwa hiyo "Mbugani" pamoja na "Mbuga" inatumika kama jina la vijiji, vitongoji au kata mbalimbali, kwa mfano hizi nchini Tanzania:
- Mbuga (Ulanga) katika mkoa wa Morogoro
- Mbuga (Mpwapwa) katika mkoa wa Dodoma