Mbuga ya Taifa ya Camdeboo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbuga ya Taifa ya Camdeboo
Mbuga ya Taifa ya Camdeboo

Mbuga ya Taifa ya Camdeboo, iko karibu na Karoo imezunguka mji wa Eastern Cape wa Graaff-Reinet .

Mbuga ya Taifa ya Camdeboo ilitangazwa kuwa Mbuga yaTaifa ya 22 ya Afrika Kusini chini ya usimamizi wa Mbuga za Taifa za Afrika Kusini Jumapili tarehe 30 Oktoba 2005. Inachukua eneo la kilomita za mraba 194.

Hifadhi hii iko chini ya Sneeuberge, au Milima ya Theluji, yenye mwinuko wa kati ya mita 740 na 1480 juu ya usawa wa bahari. [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Camdeboo National Park (en-US). The Karoo, South Africa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-11-01. Iliwekwa mnamo 2020-09-21.