Mboni Mohamed Mhita
Mandhari
Mboni Mohamed Mhita ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Handeni Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. Amekuwa mbunge wa Bunge la Afrika toka mwaka 2016. Alichaguliwa kuwa Rais wa Vijana wa Bunge la Afrika mwaka 2017.
Alipata kuwa Mkuu wa wilaya ya Mufindi. Mnamo Januari 2023, alichaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kahama.[1][2][3][4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bunge la Tanzania. "Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji – Hon. Mboni M. Mhita". Bunge Polis. https://polis.bunge.go.tz/contributions/3242
- ↑ The Citizen (Tanzania). "Handeni Rural MP Mboni elected president of Pan‑African Parliament youth caucus". https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/handeni-rural-mp-mboni-elected-president-of-pap-youth-caucus-2636084
- ↑ Mwananchi. "Mboni Mhita sasa Rais Umoja wa Vijana Bunge la Afrika". https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mboni-mhita-sasa-rais-umoja-wa-vijana-bunge-la-afrika-2905538
- ↑ Misalaba Media (14 Julai 2025). "RC Mhita ataja mafanikio ya mkoa wa Shinyanga miaka minne ya uongozi wa Rais Samia". https://www.misalabamedia.com/2025/07/rc-mhita-ataja-mafanikio-ya-mkoa-wa.html
- ↑ Nipashe / IPP Media (18 Februari 2025). "DC Mhita afariji familia watoto kufa maji". https://ippmedia.co.tz/nipashe/habari/kitaifa/read/dc-mhita-afariji-familia-watoto-kufa-maji-2025-02-18-155205
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mboni Mohamed Mhita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |