Nenda kwa yaliyomo

Mbella Sonne Dipoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbella Sonne Dipoko (Alizaliwa 28 Februari , 1936, mjini Douala – alifariki 5 Desemba 2009, mjini Tiko) alikuwa mwandishi wa vitabu, mshairi na mchoraji kutoka Kamerun. Alichukuliwa sana kuwa mmoja wa waandishi wakuu wa fasihi ya Kiingereza kutoka Kamerun.[1]

  1. "Cameroon Literature in English". anglocamlit.blogspot.com. 2007-11-24. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbella Sonne Dipoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.