Nenda kwa yaliyomo

Mbayang Sow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbayang Sow (alizaliwa 21 Januari 1993) ni mchezaji wa soka kutoka Senegal anayekipiga kama beki kwa klabu ya Ligi ya Daraja la Pili (Seconde Ligue) ya Marseille na timu ya taifa ya wanawake ya Senegal.[1]

Alikuwa sehemu ya timu ya Senegal katika Kombe la Afrika la Wanawake mwaka 2012. Katika mechi dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), alipata kadi nyekundu kwa kosa la kugusa mpira kwa mkono ndani ya eneo la penalti.[2]

  1. "List of players of the 8th African Women Championship, EQUATORIAL GUINEA 2012" (PDF). cafonline.com. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 22 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Play-Off Tournament for the FIFA Women's World Cup Australia & New Zealand 2023" (PDF). FIFA. 12 Februari 2023. uk. 1. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbayang Sow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.