Mayumba, Gabon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mayumba)

Coordinates: 3°25′S 10°39′E / 3.417°S 10.650°E / -3.417; 10.650

Kisiwa cha Mayumba
Kisiwa cha Mayumba

Mayumba ni mji wenye watu wapatao 2,500 kwenye pwani ya Bahari ya Atlantiki huko nchini Gabon, mwishoni kabisa mwa N6 road, kando ya rasi iliyotengana na bara kwa Banio Lagoon.

Panajulikana sana kwa ufukwe wake mrefu wa mchanga na kobe zake. Makundi ya makabila maarufu ni Vili, Lumbu, na Punu, na wenyeji wenyewe wa Mayumba wanaojiita 'Mayesiens'.

Ni nyumbani kwa uwanja wa ndege, kuna migahawa midogo kadha wa kadha, na masoko.

Kuna shule za msingi saba kwenye eneo hili, na shule ya sekondari yenye wanafunzi wapatao 500.

Mayumba ipo kilomita 20 (maili 12) kutoka mjini kaskazini mwa Hifadhi ya Taifa ya Mayumba, hifadhi ya taifa pekee nchini Gabon ambayo imejitoa mhanga kulinda spishi za viumbe vya baharini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mayumba, Gabon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.