Mayestron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mayestron
Jina la kuzaliwaMayani Pelo Luhabanya
AmezaliwaJulai 30 1998 (1998-07-30) (umri 22)
Kazi yakeMwimbaji
AlaSauti

Mayestron [1] ni mwanamuziki wa kizazi kipya wa hip hop, R&B .

Mayestron alianza kuganya muziki mwaka wa 2016 nchini Ireland akiwa na umri wa miaka 17.

Maisha na elimu[hariri | hariri chanzo]

Mayestron [2] ana asili ya Kongo, alizaliwa mnamo Julai 1998 katika kambi la Nyarugusu, Tanzania, Afrika Mashariki.

Kambini ndoto zake alitaka kutimiza kuwa mchezaji bora wa mpira wa miguu (soka) [3]

Mwaka wa 2013 Mayestron alihamia Ulaya na kuanza kazi za muziki huko, alianza kurekodi muziki wa hip hop na pop, akiendelea na shule ya sekondari iitwayo Patrician High School.

Mwaka wa 2017 alihitimu na kuelekea chuo kusoma shahada ya vyombo vya habari vya kidijiti na Gazi na kubuni mitandao Digital media & Web Design.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mayestron - Soma mengi kuhusu Mayestron hapa. ProfileAbility.com. Iliwekwa mnamo 2018.
  2. Mayestron - Watu wa hip hop mayestron yupo hapa. Upclosed.com. Iliwekwa mnamo 2018.
  3. Mayestron - Mwaka wa kuzaliwa wa Mayestron hapa. Amdb.com. Iliwekwa mnamo 2018.


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: